HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 16, 2014

OPARESHENI DELETE CCM MOTO CHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi. (Picha zote na Joseph Senga)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akilakiwa na wanachi wa mji wa Gairo mkoani Morgoro baada ya kuwasili, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akikabidhi kadi ya chama hicho kwa aliyekuwa kiongozi wa CCM Kata ya Makanyagio mjini Mpanda, Boniphace Futakamba baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakimsindikiza na Mwenyekiti wa hicho, Freeman Mbowe baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
Mwenyekiti  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Mpanda, wakati akiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM, ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.

No comments:

Post a Comment

Pages