HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 13, 2014

OPARESHENI DELETE CCM YAINGIA KIGOMA MJINI

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Community Cetre mjini Kigoma jana. (Picha na Joseph Senga)
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kigoma katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Community Cetre mjini Kigoma.

No comments:

Post a Comment

Pages