Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea cheti cha ubora uliothibitishwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika hilo, Joseph Masikitiko kutokana na ubora wa asali anayozalisha
na kuuza yenye nenmbo ya P&P. Makabidhiano hayo yalifanyika
Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dar es salaam Novemba 6, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment