HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2014

ZOEZI LA UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti  Serikali ya Mtaa, Michael Mgungusi (Chadema), akichukua fomu ya kugombea nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa mtaa wa Mikoroshini, Msasani, jijini Dar es Salaam, Furaha Libangu (kushoto). Mgungusi anagombea nafasi hiyo kupitia Ukawa.  (Picha na Francis Dande) 
 Michael Mgungusi (Chadema) akisaini fomu.
Michael Mgungusi (Chadema) akionyesha fomu yake.
 Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga akisaini fomu zake huku Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu akishuhudia.
 Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga (kulia) akipokea fomu ya kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu.
 Yohana Mmbaga akionyesha fomu yake.

No comments:

Post a Comment

Pages