HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 20, 2014

CATHERINE NGELESI APATA KIPAIMARA

Askofu wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kusini Kati Makete, Levis Sanga  (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mtoto Catherine Ngelesi (katikati) mara baada kuongazo ibada ya ubarikio wa Sakramenti ya kipaimara katika Usharika wa Makete mjini hivi karibuni. Kushoto ni Askofu Msaidizi  Dayosisi  hiyo, Philimon Kauka.  (Picha na Kenneth Ngelesi)
Mtoto Catherine Ngelesi akiwa katika pozi nyumbani kwao eneo la Dombwela Makete mjini mara baada ya kupokea Sakramenti ya Kipamira katika kanisa la KKKT Doyosisi ya kusini kati Usharika wa Makete.
Mtoto Catherine Ngelesi akiwa katika pozi ndani ya kanisa mara baada ya kupokea Sekramenti ya Kipaimara katika kanisa KKKT Usharika wa Makete mjini,ilitolewa na Askofu wa Dayosisi ya kusini kati Makete.
Mtoto Catherine Ngelesi akivishwa taji na mama yake mazazi Andekepye Ntulo mara baada ya kupata ubarikio wa kipaimara katika kanisa KKKT Usharika wa Makete mjini, ulitolewa na Askofu wa Dayosisi ya Kuisini kati Makete Levis Sanga hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages