Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam. Kushoto ni Lilian Erasmus Ofisa wa Idara ya TBL ya Mauzo na Usambazaji.
Baadhi ya vijana hao wa vyuo wakijaza fomu za kuomba ajira katika banda la TBL
Meneja wa Uhusiano Mmambo ya Nje wa TBL, Emma Oriyo (kulia0 akizungumza na mmoja wa vijana alifika katika banda la TBL
Maofisa wasaidisi wa Uhusiano wa TBL, Neema Msechu na Suzan Uiso wakitoa maelezo kwa mmoja wa watu waliotembelea banda la TBL KUHUSU JINSI YA KUSAIDIA AJIRA KWA VIJANA.
Ofisa Msaidizi wa Uhusiano wa TBL, Neema Msechu (kulia0 akitoa maelezo kwa mmoja wa vijana waliofika katika Banda la TBL
Wasanii wa muziiki wa kizazi kipya wa kikundi cha Paradise Arts (PAG), wakitumbuiza wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam
Waalikwa wakipata vinywaji vilivyokuwa vikitolewa bure katika Banda la TBL
Vijana wakiwa katika banda la TBL
Sasa ni wakati wa kupata vinywaji bure aina ya Grand Malt na maji aina ya Safari.

No comments:
Post a Comment