Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai leo alipofika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja akihudhuria Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa(katikati) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana. (Picha na Ikulu)
Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa
Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Haji Mkema
mara alipowasili Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo alipohudhuria katika Kikao cha kawaida
cha siku moja cha Kamati Kuu ya CCM Taifa (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana (kushoto).
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete
(kulia) alipokuwa akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM
Taifa kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto)
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM Taifa kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM Taifa Dk. Mohammed Gharib Bilali wakati alipowasili Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.







No comments:
Post a Comment