HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 02, 2015

MISS ILALA 2014 AWAFARIJI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA AMANA NA KUWAPA ZAWADI ZA MWAKA MPYA

Miss Ilala 2014,  Jihan Dimack (kushoto), akimkabidhi zawadi za mwaka mpya, Sophia Habibu kwa ajili ya matumizi ya mtoto wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam juzi. (Picha na John Dande)
 Miss Ilala mwaka 2014, Jihn Dimack akimkabidhi zawadi Lucy Rogati, kwa ajili ya matumizi ya mtoto wake ikiwa ni zawadi ya Mwaka Mpya. Hafla ilifanyika katika Hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
 Miss Ilala 2014, Jihn Dimack akitoa zawadi za mwaka mpya kwa Lucy Rogati. Hafla hiyo ilifanyika katika Hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
Miss Ilala 2014, Jihn Dimack akikabidhi zawadi za mwaka mpya kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Amana jijijni Dar es Salaam.
Miss Ilala 2014, Jihn Dimack akiwa amembeba mtoto.

No comments:

Post a Comment

Pages