HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 02, 2015

BIRTHDAY YA MWANDISHI WA MICHEZO WA BINGWA, SHARIFA MMASI

Kutoka kushoto Deo Macha (ITV), Winnie Queen (Daily News), Sharifa Mmasi (Bingwa) na Fadhili Athumani (Mtanzania) katika hafla fupi ya kumpongeza Sharifa katika siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Januari 01, mwaka 2015 mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mwandishi wa gazeti la Bingwa, Sharifa Mmasi (kuli)  akimlisha Keki, Rodrick Mushi anayeandikia gazeti la Mtanzania (magazeti yote yanachapishwa na kampuni ya New Habari (2006) Ltd)

No comments:

Post a Comment

Pages