Meneja wa NMB tawi la Darajani Zanzibar, Abdalla Duchi (kushoto)
akikabidhi jezi za mpira wa miguu kwa ajili ya timu ya wawakilishi kwa
Mwakilishi wa Rahaleo, Nassor Salumu 'Jazira' (wa pili kulia) kwa ajili
ya mchezo wa kirafiki kati ya Baraza la wawakilishi na timu ya NMB
utakaofanyika siku ya kilele cha sherehe za mapinduzi kwenye uwanja wa
Amaan saa 11 jioni.
Meneja wa NMB tawi la Darajani Zanzibar,
Abdalla Duchi (kushoto) akikabidhi fulana zilizotolewa na benki hiyo kwa
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Ali Abdalla Ali.Kulia ni
Mwakilishi wa Rahaleo, Nassor Salumu 'Jazira'.Fulana hizo zitatumiwa
kwaajili ya maadhimisho ya sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar leo.
Meneja wa NMB tawi la Darajani Zanzibar, Abdalla Duchi (kushoto)
akikabidhi jezi za mpira wa miguu kwa ajili ya timu ya wawakilishi kwa
Mwakilishi wa Rahaleo, Nassor Salumu 'Jazira' (wa pili kulia) kwa ajili
ya mchezo wa kirafiki kati ya Baraza la wawakilishi na timu ya NMB
utakaofanyika siku ya kilele cha sherehe za mapinduzi kwenye uwanja wa
Amaan saa 11 jioni.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Benki ya NMB imekabidhi fulana 500 kwa wawakilishi kwa ajili ya sherehe ya miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar. Vilevile benki hiyo imekabidhi jezi kwa ajili ya pambano la kirafiki
litakalofanyika siku ya kilele cha sherehe za mapinduzi kwenye uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar jioni.

No comments:
Post a Comment