HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 15, 2015

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages