HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2015

WAZIRI WA UCHUKUZI AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA

Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitangaza kumsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Monica Mwamunyange. (Picha a Francis Dande)

Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitangaza kumsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Monica Mwamunyange.


No comments:

Post a Comment

Pages