HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 25, 2015

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO YA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI (EJAT)

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. Milioni 10) Mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu baada ya kuibuka mshindi katika tuzo ya maisha ya mafanikio katika uandishi wa habari (LAJA) 2014. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam juzi siku. Kushoto ni Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji mstaafu Thomas. (Picha na Francis Dande)
 Mwandishi wa The Citizen, Lucas Liganga akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 3.8 kutoka kwa Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal baada ya kuibuka mshindi wa jumla katika tuzoi za umahiri katika uandishi wa habari..
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni. 3.8 mwandishi wa The Citizen Mkinga Mkinga baada ya kuibuka mshindi wa jumla katika tuzoi za umahiri katika uandishi wa habari.
 Mpiga picha bora kutoka gazeti la Mtanzania, Abubakari Akida akipokea tuzo yake.
Mpiga Picha wa magazeti ya The Guardian na Nipashe, Halima Kambi akipotea zawadi yake ya mshindi wa pili.
 Mpiga Picha bora wa Luninga kutoka Channel 10, Khamis Suleiman akipokea zawadi yake.
 Rukia Mtingwa akimkabidhi zawadi mpiga picha bora wa televisheni, Khamis Suleimani kutoka kituo cha Channel Ten. Kulia ni John Chacha wa ITV aliyeshika nafasi ya pili.
Khamis Suleima akiwa na zawadi zake.
Mpiga picha wa ITV John Chacha akipokea zawadi zake baada ya kushika nafasi ya pili.
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari waliopata Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa habari.
Waandishi wa habari kutoka Kampuni ya IPP wakiwa katika picha ya pamoja.
  Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanakamati wa maandalizi ya hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages