![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVEvkGPvJsLFE6GUQAiw1yNjcFkhqDuxr94OmxygApDoaGHOUm0XGltZdffXmSfSEnW4UNucBJqReE0fdGeOO0N6pVb15uuPmw-nxovmawPNNPXAX5EEznNWQXILtUQbQ_vIQWY2cApdkh/s1600/20150424_153202.jpg)
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwa na Viongozi wa Taasisi ya
Watu wenye Ulemavu wa Ngozi walipomtembelea Ofisini kwake Aprili 24, 2015
kuzungumza masuala ya msingi yanayohusu ulinzi na usalama.
No comments:
Post a Comment