Familia ya Mchungaji Fanuel Solomon
wa Mruma Ugweno – Kilimanjaro wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa,
Mama Salome Fanuel Solomon kilichotokea Ugweno siku ya Ijumaa tarehe
22/05/2015.
Mazishi yatafanyika kijijini Mruma, Ugweno siku ya Ijumaa 29/05/2015.Taratibu za mazishi zinafanyika
kwa mtoto wa marehemu Mbazi Fanuel Solomon Kunduchi Beach, Dar es salaam.
BWANA AMETOA
NA BWANA AMETWAA – JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment