Mbunge wa viti maalum, Lucy Owenya (Chadema) akitazama
magodoro pamoja na mahindi yakiwa yamewekwa juu ya Choo baada ya kutokea kwa mafuriko katika kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri makazi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho. (Picha na Dixon Busagaga)
Mbunge wa viti maalumu,Lucy Owenya (Chadema) akiongozwana diwani wa kata ya Arusha Chini ,Rojas Mmary wakati akitembelea kujionea athari ya mafuriko yaliyotokea katika kiwanda cha sukari cha TPC pamoja na vijiji jirani vinavyozunguka kiwanda hicho.
nice blog and good information
ReplyDelete