HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 25, 2015

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi  (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages