HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2015

UZINDUZI WA MFUKOWAUCHAGUZIWA MKOA WA MAGHARIBI KICHAMA

 Baadhi ya WanaCCM na Wakereketwa na Viongozi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja. (Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Mwenyekiti wa wa Vijana Wilaya ya Mfenesini Marakibu Mbarouk Mrakibu Picha ya kuchora ya kukabidhiana hati ya Muungano Mzee Karume na Mwalimu Nyerere iliyouzwa kwa mnada Shilingi MIllioni Ishirini na Tatu wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja (kushoto) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akishikilia Keki akiwa na Wajumbe waliochangia keki hiyo iliyouzwa kwa mnada wa shilingi Milioni Kumi na Mbili wakati wa mchango maalum wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Abdulghafar Idrissa Mikoba ya Ukili iliyouzwa kwa mnada wa shilingi Milioni Mbili.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wanachama na wapenzi wa CCM  wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pamja na Viongozi wengine (katikati) wakiwa katika Picha ya Pamoja na wanakamati.

No comments:

Post a Comment

Pages