Wafanyabiashara wenye wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya
Uhuru na Kawawa kulalamia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao
vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni
mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es
Salaam leo . (Picha na Francis Dande).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akielekea ofisini kwake kuzungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao.
Mkuu wa Wilaya ya Illala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao.
Ofisa wa Polisi akizungumza na mmoja wa wafanyabiashara.
Ofisa wa Polisi akizungumza na mmoja wa wafanyabiashara.
Malori yakiwa yamekwama
Hali tete.
Walemavu wakiwa wamefunga barabara.
Hali ilivyokuwa leo katika eneo la Ilala.
Mbuzi wakipita katikati ya barabara.
No comments:
Post a Comment