Mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), unaagwa Jumamosi Juni 27 nyumbani kwa dada yake Makongo Juu jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda kmkoani Kagera kwa maziko.
Kamukara alifariki dunia nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake kwenye wa utoaji wa tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) zilizofanyika Aprili 24 mwaka huu.
Marehemu Edson Kamumara akiwa Chumba cha habari cha gazeti la Tanzania Daima pamoja na wafanyakazi wenzake.

No comments:
Post a Comment