HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 11, 2015

CHRISTINA AMEREMEKA KATIKA KITCHEN PARTY

Christina Liwembe akimlisha keki dada yake Elizabeth Liwembi wakati wa sherehe  ya Kitchen Party yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa mango gurden jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
 Christina Liwembe akisaidiwa kukata keki na mpambe wake Amina Juma wakati wa sherehe ya Kitchen Party iliyofanyika kwenye ukumbi wa mango gurden jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages