HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 10, 2015

WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI 800 MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na  Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877.

No comments:

Post a Comment

Pages