HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 04, 2015

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, LOWASSA, MAGUFULI W ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Kulia ni kewe Mama Regina Lowassa. (Picha na Khalfan Said)
  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akionyesha mkopo wenye fomu za kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu wakati wa kuchukua fomu za kuwania kiti cha urais mjini Dodoma.
 Mh. Magufuli akipokea fomu ya kuwania kiti cha urais.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu za kusaka wadhamini, mmoja kati ya vijana waliojitolea kusambaza fomu za kutafuta wadhamini, Saada Ilasi, baada ya mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma. 
 Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Fomu hizo. Kulia ni Mzee wa Chama cha Mapinduzi, Ramadhan Suleiman Nzori. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Pages