HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 05, 2015

MAZISHI YA JAJI ANTONY BAHATI KATIKA PICHA

Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Jaji mstaafu mstaafu marehemu Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay Dar es Salaam.
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Jaji mstaafu mstaafu marehemu Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay Dar es Salaam.
Jaji wa Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shaaban Ally Lila (kushoto) akiwaongoza majaji wenzake kubeba jeneza lililokuwa na mwili wa Jaji mstaafu marehemu Antony Bahati wakati wakiingia Kanisani.
Waombolezaji wakiwa Kanisani.
Watoto wa marehemu Jaji mstaafu Antony Bahati wakiwa kanisani wakati wa ibada ya kumuombea marehemu.
Jeneza lililokuwa na mwili wa Jaji Antony Bahati likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumuombea marehemu.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Jaji Shaban Ally Lila (kushoto) akiwaongoza majaji wenzake kubeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Jaji mstaafu, Jaji Antony Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Jeneza likiwa kaburini.
Askari Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la Jaji mstaafu Antony Bahati wakati wa mazishi yake.
Askari Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakipiga risasi hewani wakati wa kutoa heshima za mwisho kwenye mazishi ya Jaji mstaafu Antony Bahati.
Waombolezaji wakiwa makaburini.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiweka shada la maua.
 Jaji mstaafu Mark Boman akiweka shada la maua.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja.
Mtoto wa marehemu Jaji Antony Bahati, Christina Bahati (katikati) pamoja na mume wake wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yake. 
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evalist Ndikiro akiagana na Waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba baada ya mazishi.
Mtoto wa marehemu Angela Bahati (kushoto) pamoja na mume wake wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu baba yake Jaji Antony Bahati.

Mtoto wa marehemu Angela Bahati (kushoto) akiwa na mume wake wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu mama yake, Laurencia Bahati.

No comments:

Post a Comment

Pages