HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 20, 2015

MBOWE AFUNIKA MJI WA MOSHI

Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi,akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini humo.
Mwenyekiti wa Chadema taifa na mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwahutubia maelefu ya wananchi wa mji wa Moshi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway juzi.
Mwenyekitiw wa Chadema taifa na Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi muda mfupi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.

3 comments:

  1. bluespygrego@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Sera ya kuingia ikulu iwe ni kusaidia wananchi na kujali maslai ya wananchi kipaumbele katika kutengeneza katiba bora kwa maslai ya yawanchi wote na sii kwa maslai ya viongozi au matajiri aua walio kusudia Mkua matajiri kupitia maslai ya nchi aua rasilimali watu Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Ukawa waweze kuongoza Tanzania mpya lakini pia hatutaki kusikia neno Tanganyika kwetu litakua halina mshiko tunataka kujenga nchi ya umoja bila kuweka uzanzibari na utanganyika.

    ReplyDelete
  3. ndugu wasomaji na hata wale wanao tazamia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi lakini nikianzia na wale wangaza ya uraisi, kwanza nauliza jee kweli wanaijua Tanzania? kama kweli wanaijua Tanzania watakua wanaweza kuiongoza Tanzania ama zaidi ya hapo wapate maoni au mwazo ya wale wanao ijua Tanzania, zamani ninayo ijua mimi ni hii, mwalimu nyerere alikua anaipenda Tanzania nania yake ilikua ni nzuri kwa nchi yake Tanzania na kwandugu zake wa Tanzania, hakufanya makosa pale alipo watimua wazungu mabepari na kutaifisha mali zao zote zilizo kua na mitaji mikubwa ya mashamba na vitendea kazi kama matrekta na zana zake zote na mitambo kazaa zikiwepo mashine za kupandia na kuvunia nafaka, bila kusahau Ng'ombe Mbuzi Kondoo Farasi na kadhalika bila kusahau Majumba ya kifahari kwa wakati huo ambayo yalitaifishwa na kuitwa mali ya uma, lakini wakati huo Mwalimu Nyerere alijua miongoni mwa watanzania anao waweka kua wasimamizi wa mali au miradi hiyo mikubwa watakua na mapenzi na nchi yao na kutaka kuendeleza mambo mazuri bila kuju huku yeye akiendelea kupiga kelele kupigania afrika nzima watu hawa walio kabiziwa majukumu ya kusimamia miradi hiyo wakatumia nafasi hiyo kuhamishia kila kitu katika mikono na mifuko yao mapka leo hii imebakia hestoria na Nyerere alipo shituka alikua amechelewa ikabidi akae kimya nakuachia madaraka na wakati huoo nchi ikiwa kame imechoka huku makundi madogo ya watu wakiwa wamenufaika wao na familia zao mpaka ikafikia kuagiza sasa hata unga wa chapati kutoka nje ambao ulikua unapatikana hapahapa katika mashamba yetu na kutengenezwa katika kiwanda chetu mama cha usagishaji National Miling mabacho kwa sasa kimebakia historia tena sijui kama hata historia hiyo inajulikana tena au shirika hilo mama mpaka sasa liko wapi pamoja na majnego yake yote na mitambo yake jee ninnani mtanzania angeweza kununua mitambo yote na majengo yote na serekali ikashindwa kuyamiliki na kuyauza au jee kama shirika hilo mama limeuzwa pesa zake ziko wapi! nitataendelea kuwaletea visa hivi maana mimi naifahamu Tanzania nataka kiongozi atakae weza kuona Tatio hilo na kuweza kuiweka tena Tanzania katika mstari ulio bora kimtazamo na kiuchumi Mungu nisaidie Mungu wasaidie wa Tanzania waijue Tanzania.

    ReplyDelete

Pages