HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 10, 2015

TBL YAIBUKA KIDEDEA KAMA MWAJIRI BORA WA NSSF KWA MWAKA 2015

Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (kulia), Ofisa Mwandamizi wa Matekelezo NSSF mkoa wa Temeke na Ofisa Mateelezo wa eneo la TBL, Sunday Mziray muda mfupi kabla ya kutoa tuzo ya mwajiri bora kwa Kampuni ya Bia Tanzania.
Ofisa Matekelezo NSSF Temeke, Abubakar Mshangama akiwa na Ofisa Matekelezo eneo la TBL, Idd Juhudi wakionyesha tuzo walizokabidhi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhiwa tuzo ya mwajiri bora katika kulipa michgango ya NSSF kwa wakati. 
Ofisa Mwandamizi wa Matekelezo NSSF mkoa wa Temeke, Nour Aziz akizungumza katika hafla hiyo.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto), Ofisa Matekelezo wa eneo la TBL, Idd Juhudi na Ofisa Matekelezo NSSF Temeke, Abubakar Mshangama.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (katikati) akizunguma katika hafla hiyo.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (katikati) akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo mbili za mwajiri bora kwenye sekta ya 'Chakula na Vinywaji', pamoja na tuzo ya Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’. Hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty na Shared Service Manager, Alois Maleck Qande.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (kushoto) akimkabidhi tuzo ya mwajiri bora kwenye sekta ya 'Chakula na Vinywaji', Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Pia TBL ilishinda tuzo ya  baada ya kushinda tuzo mbili ya kwanza ya kisekta kama mwajiri bora kwenye sekta ya "Chakula na Vinywaji" na tuzo ya pili mshindi wa jumla kama Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’ Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty baada ya kushinda tuzo mbili ya kwanza ya kisekta kama mwajiri bora kwenye sekta ya "Chakula na Vinywaji" na tuzo ya pili mshindi wa jumla kama Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’ Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akimkabidhi tuzo ya  Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’, Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty. Hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’ Hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akipeana mkono na Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty 
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty (wa pili kulia), Shared Service Manager, Alois Maleck Qande (kulia) na Ofisa Mwandamizi wa Matekelezo NSSF mkoa wa Temeke, Nour Aziz (kushoto) wakati wa hafla ya kutoa tuzo ya mwajiri bora kwa Kampuni ya Bia Tanzania.
Cheti cha Mwajiri Bora kwenye Utekelezaji wa Sheria ya NSSF No. 28 ya mwaka 1997 ‘Good Compliance for the Year 2015’  
Tuzo ya mwajiri bora kwenye sekta ya Chakula na Vinywaji.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akiwa amepozi kwa picha na Ofisa Mwandamizi wa Matekelezo NSSF mkoa wa Temeke, Nour Aziz.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (kulia) akibadilishana mawazona Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O’Flaherty. 
Picha ya pamoja.
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja maofisa wa NSSF mkoa wa Temeke. 

No comments:

Post a Comment

Pages