HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 31, 2015

GOR MAHIA YAINGIA FAINALI YA MICHUANO YA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KHARTOUM 3-1

 Kikosi cha timu ya Khartoum ya Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo. Gor Mahia imeingia fainali ya michuano ya Kagame baada ya kuifunga Khartoum 3-1. (Picha na Francis Dande)
 Wachezaji wa timu ya Khartoum wakishangilia bao.
 Kiungo wa Gor Mahia, Innocent Wafulawakichuana na Ahmed Adam Mahmoud. 
 Beki wa Gor Mahia, Karim Nizigiyimana akichuana na Amin IbrahimElmani.
 Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao.
 Ahmed Adam Mahmoudakiwatoka wachezaji wa Gor Mahia.
 Wagdi Awad Abdalla akitafuta mbinu za kumtoka Mussa Mohammed.
 Golikipa wa timu ya Gor Mahia, Boniface Oluochakiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao.

No comments:

Post a Comment

Pages