HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 31, 2015

MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU APANDIKIZA MBEGU YA UPENDO,AMANI NA MSHIKAMANO

SAM_4682Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wananchama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama watakaoonyeshwa na Mungu na siyo kwa kushawishiwa kwa pesa,pia alionyesha furaha yake kwa kuweza  kupandikiza mbegu bora ya Upendo,Amani na Mshikamano kwa wagombea wenzake pamoja na Wanaarusha kwa ujumla(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog) 
SAM_4659Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha ,ambapo aliwashukuru wagombea wenzake 12 wanaowania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha kwa kumaliza mchakato wa kuzunguka katika kata 25 jimbo la Arusha kwa Amani,Upendo na mshikamano na pia alionyesha furaha yake kwa kupandikiza mbegu bora ya Upendo,Amani na Mshikamano
SAM_4665Sehemu ya wadau wakifatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM 
SAM_4676
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akisisitiza wananchi kwa ujumla kuwa na Upendo,Amani na Mshikamano na kusisitiza kuwa atamuunga mkono mgombea yeyote atakayepitishwa na chama cha mapinduzi,kulia nia Kassim Mamboleo  katibu wa kamati ya Ushindi
SAM_4666Wadau wakifatilia hotuba kwa umakini
SAM_4692Mwenyekiti wa kamati ya Ushindi Godfrey Mhando akizungumza ambapo alisema kuwa kila mtu anahaki ya kumchagua kiongozi anayeona anafaa na siyo kurubuniwa kwa fedha
SAM_4691Kassim Mamboleo  katibu wa kamati ya ushindi akizungumza na wanahabari pamoja na wadau ambapo alitoa rai kwa Watanzania kuwa makini katika mchakato huu kuelekea uchaguzi mkuu
SAM_4677Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akisoma imani inayopatikana katika kadi yake ya CCM ,moja ya imani ni pamoja na Upendo,Amani na Ushirikiano
SAM_4686Mchambuzi wa kisiasa na Mwanahabari mkongwe hapa Nchini Abrahamu Gwandu akizungumza katika mkutano huo alisisitiza wananchi kuwa na Umoja,Upendo na kuchagua kiongozi bora kuelekea uchaguzi mkuu ili kuepusha uvunjifu wa Amani
SAM_4688Meza kuu
SAM_4660Taswira katika mkutano huo.
SAM_4690Mdau akiongea katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Pages