Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini
Tarimba Abbasi akiteta jambo na Mwenyekiti wa michezo ya kubahatisha ya Gidan
International Profesa , Bongani Aug Khumalo wakati wa utoaji wa elimu kwa
wananchi waliofika kwenye banda hilo lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya
Dar es Salaam juu ya michezo ya kubahatisha itakayozinduliwa baadaye mwaka huu.
Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini
Tarimba Abbasi (kushoto) akikabidhiwa tiketi ya bahati nasibu na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Gidani
International, Clive Reynofrs wakati wa uzinduzi wa mchezo huo uliofanyika
kwenye viwanja vya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es
Salaam(Sabasaba) Wa pili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa kampuni ya Gidani
International Profesa , Bongani Aug Khumalo na Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni
hiyo Brett Smith.
Mwenyekiti wa Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Gidani International
yenye makao yake makuu nchini Afrika ya Kusini, Profesa Bongani Aug Khumalo akiwaelimisha wananchi
waliofika kwenye banda la Michezo ya kubahatisha lililopo kwenye maonesho ya 39
ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, (Sabasaba) jinsi michezo itakayochezeshwa na kampuni hiyo
itakavyoendeshwa.
Mwenyekiti wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Wiliam Mdundo
(katikati) akiwahamasisha wananchi waliofika kwenye banda la bodi hiyo liliopo
kwenye maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, (Sabasaba) ili
waweze kushiriki katika michezo ya bahati
nasibu inayotarajiwa kuzinduliwa nchini mwezi Novemba na kampuni ya
Gidani International.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Profesa ,
Bongani Aug Khumalo
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Gidani
International akitoa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda hilo lilopo
kwenye maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam(Sabasaba)
juu ya elimu ya mchezo huo utakaozinduliwa mwezi Novemba ambapo washiriki
watajinyakulia zawadi mbalimbali akiwemo mshindi wa zawadi kubwa ya kitita cha
shilingi bilioni 1.
Mwenyekiti wa Kapuni ya michezo ya kubahatisha ya Gidan
Intarnationa Profesa , Bongani Aug Khumalo (mwenye shati nyeusi) akiwa katika ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi ya michezo ya akaubahatisha
Tanzania wakati wa uzinduzi wa mchezo huu uliofanyika kwenye maonesho ya
maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, (Sabasaba) Bahati na
sibu yaTaifa unarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi November 2015.
No comments:
Post a Comment