HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 23, 2015

LUSAJO WILLY ARUDISHA FOMU YA UBUNGE KINONDONI

Mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni, Lusajo Willy akiingia katika ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni kurudisha fomu za kuwania ubunge katika jimbo hilo.
 Mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni, akisalimiana na mgombea wa jimbo la Kawe Abdallah Majura wakati wa zoezi la kurudisha fomu za ubunge katika ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni kurudisha fomu za kuwania ubunge katika jimbo hilo.
 Katibu Mkuu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Kinondoni akipokea fomu kutoka kwa mgombea wa jimbo la Kinondoni, Lusajo Willy
Lusajo akisaini fomu.

No comments:

Post a Comment

Pages