HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 12, 2015

MAGUFULI APITISHWA NA MKUTANO MKUU WA CCM KUWA MGOMBEA URAIS

Mkutano Mkuu wa CCM umemteua Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama hicho ambapo katika uteuzi huo Dk. Magufuli amepata kura zaidi ya 2000 na kuwashinda wenzake wawili Balozi Samia Salum na Dk. Asha Rose Migiro ambapo mgombea mweza wake atakuwa Samia Hassan Suluhu
 Spika wa Bunge Anne Makinda akimpongeza mgombea mweza Samia Hassan Suluhu ambaye ni mgombea mwenza wa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM,  Dk. John Magufuli muda mfupi baada ya jina lake kutajwa kuwa mgombea mwenza.
 Dk. Magufuli akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu kwa kuchagua kwa kura nyingi. Kulia ni Mgombea mwenza, Samia Hassan Suluhu.
 Dk. Magufuri akimtambulisha mgombea mwenza, Samia Hassan Suluhu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya jina lake kutajwa.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM wakimpongeza Dk. Magufuli.

No comments:

Post a Comment

Pages