HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 11, 2015

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAANZA WAENDELEA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika Ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.(Picha kwa Hisani ya Michuzi Media)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa unaoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages