HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 11, 2015

USIRI WATAWALA TANO BORA ZA WAGOMBEA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo nje ya ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichokaa kupitisha majina matao ya wagombe wa Urais yatakayopelekwa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliwa.  (Kwa hisani ya Michuzi Media)
 Muda mfupi baada ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kuzungumza na waandishi wa habari walitoka nje wajumbe watatu wa Mkutano Mkuu ambao ni Dk. ERmmanuel Nchimbi, Mh. Sophia Simba na Mh. Adam Kimbisa walizungumza na waandishi wa habari juu ya walichozungumza kwenye kikao hicho ambao wao walisema wamegomea makubaliano ya majina yaliyopitishwa kwenye kikao hicho kwa madai kwamba kikao kimekiuka taratibu uchujaji wa majina hayo kwani kikao kimejadili majina machache na kupitishwa kwenda tano bora, hata hivyo hawakuyataja majina hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages