Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo. Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Huduma mbalimbali ndani ya banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Huduma mbalimbali ndani ya banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Huduma mbalimbali ndani ya banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Huduma mbalimbali ndani ya banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mmoja wa manesi anayetoa huduma za afya akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Dk. Suzan Lymo toka Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kushoto wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
July 06, 2015
Home
Unlabelled
Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba
Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment