HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 08, 2015

VIONGOZI WAKUU WA UKAWA WAKUTANA

Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga mikakati ya umoja huo kuelekea kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuongoza serikali. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa NLD, Tozi Matwange, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages