![]() |
| Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akizungumza wakati wa fainali hiyo kaba ya kukabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii) |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi kitita cha fedha kiasi cha sh Milioni 2 kwa mabingwa hao. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya mipira mitatu kwa mabingwa hao. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi vyeti kwa waratibu wa mashindano hayo . |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi kwa msaidizi wake ,Hamisi Athumani kwa kufanikisha mashindano hayo. |










No comments:
Post a Comment