HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 26, 2015

LOWASSA KATIKA ZIARA ZA KUTEMBELEA MASOKO

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Lucas Mkondya, akizungumza na mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa, baada ya msafara wake kuzuiliwa na Polisi katika makutano ya barabara ya Swahili na Uhuru jijini Dar es Salaam juzi wakati akiwa katika ziara ya kutembelea masoko ya chakula. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages