Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa
akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya katika mkutano wake wa kampeni
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ruanda Nzovwe. (Picha
zote na Keneth Ngelesi)
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa
akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya leo.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akiingia kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe.



No comments:
Post a Comment