Mgombea Urais wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh.
Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa
hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini
Mbeya leo Oktoba 18, 2015. (Picha na Othman Michuzi).Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu",
katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya.






No comments:
Post a Comment