HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

October 25, 2015

MATUKIO YA UPIGAJI KURA DAR

Wapiga kura wakihakiki majina yao wakati wa zoezi la kupiga kura. (Picha zote na Francis Dande)
 Waangalizi wakiwasili katika kituo cha kupiga kura.
Mwangalizi wa SADC, Judith Kapijimpanga ambaye pia ni balozi wa Zambia nchini Tanzania akiangalia mfano wa karatasi ya kupiga kura katika kituo cha Shule Msingi Oysterbay Dar es Salaam.

 Foleni ya kuiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Oysterbay.
 Wananchi wakipiga kura.
 Zoezi la kupiga kura likiendelea.
 Mkazi wa jijini Dar es Salaam wakipiga kura.
 Wapiga kura wakihakiki majina yako wakati wa zoezi la kupiga likiendelea.
 Wananchi wakiwa katika hatua za awali kabla ya kupiga kura.
 Wapiga kura wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Mbuyuni Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam.

 Wananchi wakisubiri kupiga kura.
 Wananchi wakiwa katika foleni ya kupiga kura katika kituo cha Leaders Kinondoni Dar es Salaam.
 Wananchi wakiwa katika foleni ya kupiga kura katika kituo cha Leaders Kinondoni Dar es Salaam.
 Askari Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani Kata ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakati zoezi la kuhesabu kura likiwa linaendelea.

Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Wananachi wakiwa katika foleni katika kituo cha Leaders Kinondoni.

No comments:

Post a Comment

Pages