Askari Polisi wakishusha masanduku ya kura katika kituo cha kutangazia matokeo ya ubunge katika Shule ya Msingi Oysterbay jijini Dar es Salaam, kura hizo zilipigwa katika Kata ya Wazo. (Picha na Francis Dande)

Askari Polisi wakishusha masanduku ya kura katika kituo cha kutangazia matokeo ya ubunge jimbo la Kawe kilichopo katika Shule ya Msingi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakishangilia matokeo ya awali
yaliyobandikwa katika kituo cha kupigia kura cha Mwongozo A jimbo la Kinondoni
jijini Dar es Salaam
Wananchi wakiangalia matokeo ya awali yaliyobandikwa katika kituo kupiga kura cha Mwongozo A kinondoni Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment