Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya
cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe
za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji
Afrika Mashariki huko Mtwara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka
Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua
kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki
huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na familia yake na ujumbe
wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za
kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika
Mashariki huko Mtwara Jumamosi.
Sehemu
ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko
Dangote wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi
kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote
vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia
kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni
kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa uzalishaji Bi.
Mbumi Mwampeta (23) kuhusu uzalishaji wa satuji kwa njia za kisasa baada
ya kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa
kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015. PICHA NA IKULU.











No comments:
Post a Comment