HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 07, 2015

BARAZA KUU CUF LAKUTANA ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara) bibi Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Mhe. Nassor Ahmed Mazuri, pamoja na baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la Uongozi CUF, mara baada ya kuwasili katika hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuanza kikao hicho.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la Uongozi CUF, mara baada ya kuwasili katika hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuanza kikao hicho. (Picha na Talib Ussi)

No comments:

Post a Comment

Pages