Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile
alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha. (Picha kwa hisani ya Wizara ya Fedha)
No comments:
Post a Comment