Kaimu mkuu wa mkoa wa
Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bi. Fatma Ally (katikati) akiwasili
kwenye hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani Mtwara kitaifa. Katika
kusherekea siku hii, wafanyakazi wa benki hii barani Afrika huhamasishwa
kujitolea muda wao kwa ajili ya shughuli za kijamii zenye manufaa kwa jamii
husika. Ecobank Tanzania ilisherekea siku hii kwa kukarabati moja ya wodi ya
watoto katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara.
Mkurugenzi mkuu wa Ecobank
Tanzania Bw. Enoch Osei-Safo akimkaribisha Kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara Bi.
Fatma Ally ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Mtwara katika hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani
Mtwara mwishoni mwa juma. Katika kusherekea siku hii, wafanyakazi wa benki hii
barani Afrika huhamasishwa kujitolea muda wao kwa ajili ya shughuli za kijamii
zenye manufaa kwa jamii husika. Ecobank Tanzania ilisherekea siku hii kwa
kukarabati moja ya wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara.
Mkurugenzi Mkuu wa
Ecobank Tanzania Bw. Enoch Osei-Safo akiwasalimia wakazi wa mkoa wa mtwara
(hawapo pichani) katika hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani
Mtwara mwishoni mwa juma. Benki ya Eco Tanzania ilisherekea siku hii kwa
kukarabati moja ya wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani
Mtwara ambapo walichangia kiasi cha dola za kimarekani elfu kumi na tano.
Kaimu mkuu wa mkoa wa
Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bi. Fatma Ally (katikati) akitoa
hotuba yake katika hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani
Mtwara mwishoni mwa juma. Katika kusherekea siku hii, wafanyakazi wa benki hii
barani Afrika huhamasishwa kujitolea muda wao kwa ajili ya shughuli za kijamii
zenye manufaa kwa jamii husika. Ecobank Tanzania ilisherekea siku hii kwa
kukarabati moja ya wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani
Mtwara.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ecobank Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja
na watoto wa mkoa wa Mtwara wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani
Mtwara mwishoni mwa juma. Katika kusherekea siku hii, wafanyakazi hao
walijitolea kufanya shughuli za kijamii ambapo walishiriki katika ukarabati wa moja
ya wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara.
Kaimu mkuu wa mkoa wa
Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bi. Fatma Ally akikagua wodi ya
watoto katika hospitali ya mkoa na rufaa ya Ligula mkoani Mtwara ambayo benki
ya Ecobank Tanzania ilijitolea kukikarabati wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank ambayo ilifanyika mkoani
humo mwishoni mwa wiki.
Kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara Bi. Fatma Ally (wa pili kulia) akipata
maelezo ya utaribu mzima wa ukarabati wa wodi ya watoto katika hospitali ya
Ligula kutoka kwa Meneja wa tawi la Ecobank-Mtwara Bw. Davis Minja (wa kwanza
kushoto). Benki yaEcobank Tanzania ilijitolea kukarabati
wodi hiyo ya watoto wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Ecobank. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo hapa nchini
Bw.Enoch
Osei-Safo.


No comments:
Post a Comment