Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa
Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi
ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak
kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Malika Berak
Tanzania mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo na kutoa salamu za pole
kwa Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Francois Hollande kufuatia vifo vifo vya Watu
zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wa pili akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa
(kushoto) pamoja na Maofisa mbalimbali wa Ubalozi huo mara baada ya kutia saini
kitabu cha maombolezo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Ufaransa .


No comments:
Post a Comment