HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 22, 2015

NSSF YADHAMINI TAMASHA LA KUSOMA VITABU WANAFUZNI WA SHULE ZA MSINGI

Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Mshangama akiwaonyesha fomu ya kujiunga na uanchama wa hiari na fao la matibabu baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF wakati wa tamasha la wa kusoma vitabu wanafunzi wa shule za msingi, lililofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF. 


Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Mshangama (kushoto) akifafanua jambo kwa wanachama wapya waliojiunga uanchama wa hiari na fao la matibabu wakati wa tamasha la kusoma vitabu wanafunzi wa Shule za Msingi lililofanyika jijini Dar es Salaam kudhaminiwa na NSSF.

Watoto Brianna Michalis Kelly Godfrey wakisoma vitabu wakati wa tamasha la  kusoma vitabu wanafunzi wa Shule za Msingi lililofanyika jijini Dar es Salaam kudhaminiwa na NSSF. 

Mtoto Baraka Ngonyani (kushoto) akisoma kitabu wakati wa tamasha la kusoma vitabu lililoandariwa na tKay&Sons na kudhaminiwa na NSSF. Katikati ni mtoto Fidelis Kennedy.
Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Mshangama akifafanua jambo kwa uanachama wa hiari na fao la matibabu kwa wanachama wapya waliojiunga na NSSF wakati wa tamasha la wa kusoma vitabu wanafunzi wa shule za msingi, lililofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF.

Ofisa Mawasiliano wa tKay&Sons, Angelina Pesha akiwafundisha watoto.

No comments:

Post a Comment

Pages