Mwigizaji
WemaSepetu (kushoto) akifurahia jambo na mwakilishi wa kampuni ya QWAY
International inayosambaza kinywaji cha Belvedere Vodka nchini, Tanya
Mulamula, wakati wa hafla ya uzinduzi wa filamu ya Spectre ya James
Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market.
Bond Girls posing at the Jaguar 2
Wadau wa Belvedere Vodka pamoja na Heineken wakishow some love
Mchekeshaji
ambae pia ni mshereheshaji Evance Bukuku akizungumza na Tanya Mulamula
ambae ni mwakilishi wa kampuni ya QWAY chini inayosambaza kinywaji cha
Belvedere Vodca pamoja na Moët-Hennessy wakati wa hafla ya uzinduzi wa
filamu ya Spectre ya James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market
Mwakilishi
wa
kampuni ya QWAY International inayosambaza kinywaji cha Belvedere Vodka
nchini, Tanya Mulamula, kulia akiwa na Carlo wa Nyama Choma Festival
wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa filamu
ya Spectre ya James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market.
Bond Girls posing at the Belvedere Bar
Bond Girls posing at the Heineken DJ Booth
Na Mwandishi Wetu
WATU mbalimbali walihudhuria hafla ya uzinduzi wa filamu ya Spectre ya James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market chini ya udhamini wa Belvedere Vodka, Heineken, Jaguar pamoja na Land Rover.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, mwakilishi wa kampuni ya QWAY International inayosambaza kinywaji cha Belvedere Vodka,Tanya Mulamula alisema hafla hiyo inalenga kuwakutanisha wadau na kuifurahia filamu hiyo, ikiwa siku moja kabla ya uzinduzi wake.
Filamu ya hiyo ya Spectre iliyoigizwa na Daniel Craig kama James Bond ilizinduliwa rasmi hapa nchini Ijumaa iliyopita uzinduzi uliofana.

Alisema kuwa kinywaji hicho kinatambua nafasi ya filamu katika kuwaburudisha wateja wake na ndio maana imetoa tiketi nyingi za bure kwa wateja wake wengi.
" Belvedere Vodka, Heineken, Land Rover na Jaguar tumeamua kwa pamoja kuungana na watu wengine wengi katika kusherehekea uzinduzi wa filamu hii kwa kuanza na hafla hii ikiwa ni siku moja kabla ya uzinduzi wa filamu yenyewe" alisema Tanya.
Pia Mkurugenzi wa mauzo wa kampuni ya CMC inayohusika na magari ya Jaguar pamoja na Land Rover, Kim Withnall alisema kuwa filamu hiyo imehusisha magari ya Jaguar na Land Rovers na ndio maana hata kwa Tanzania kampuni yake imeshiriki katika kuandaa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment