HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 09, 2015

RAIS DK MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)
 Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana.
 Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo leo na kuwafariji wagonjwa.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akitoka katika jengo la MOI.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi wananchi waliomweleza shida zao mbalimbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa Muhimbili leo.

Rais Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.

No comments:

Post a Comment

Pages