HABARI MSETO (HEADER)


November 18, 2015

PSPF YAZINDUA FAO LA MATIBABU KWA WANACHAMA WA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI


 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akisaini akizungumza wakati wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF unaowawezesha kupata matibabu kupitia Mpango wa Taifa wa Bima ya Afya. Hafla ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
 Baadhi ya maofisa wa PSPF.
 Wakurugenzi na Mameneja wa NHIF wakiwa katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akisaini mkataba na Kimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando wakati  wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF. (Picha na Francis Dande)
 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akibadilishana hati na Kimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando wakati  wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF.  
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akibadilishana hati na Kimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando wakati  wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF.  
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) akikata utepe na Kimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando wakati  wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF. 
 Anna Mgunda akipokea kadi ya Bima ya Afya kutoka kwa Ofisa Sheria Mwandamizi wa SSRA, Omar Khalfan.
Salum Madenge (kushoto) akipokea kadi ya Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Ofisa Sheria wa SSRA wakati wa uzinduzi wa FAO la Matibabu kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa Hiari wa PSPF. 

No comments:

Post a Comment

Pages